by tff admin | Nov 11, 2019 | News, Taifa Stars
Kikosi cha Taifa Stars leo kimeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo dhidi ya Equatorial Guinea Novemba 15, 2019 kufuzu Afcon 2021.
by tff admin | Nov 6, 2019 | News, Taifa Stars
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja Kikosi kitakachoingia kambini kujiandaa kwa mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Equatorial Guinea utakaochezwa Ijumaa Novemba 15,2019. Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti itacheza mchezo mwingine dhidi ya...
by tff admin | Nov 6, 2019 | News, Taifa Stars
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezindua kampeni maalumu ya Taifa Stars kuelekea katika michezo ya kufuzu AFCON 2021. Kampeni hiyo inaanzia kwenye mchezo dhidi ya Equatorial Guinea utakaochezwa Ijumaa Novemba 15,2019 Uwanja wa Taifa. Kampeni hiyo maalumu...
by tff admin | Oct 25, 2019 | News, Taifa Stars
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeingia mkataba wa mwaka mmoja na Ndayiragije Ettiene kuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars. Kabla ya uteuzi huo uliofanywa na Kamati ya Utendaji ya TFF, Ndayiragije alikuwa Kocha wa muda wa Taifa Stars. Uamuzi wa Kamati ya...
by tff admin | Oct 18, 2019 | News, Taifa Stars
Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania Taifa Stars imefanikia kufuzu kushiriki mashinadano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) yatakayo fanyika huko Cameroon 2020 Taifa Stars imefanikiwa kufuzu kwa kuinyuka Sudan bao 2-1 na kufanya matokeo ya jumla kuwa 2-2 na...
by tff admin | Oct 18, 2019 | News, Taifa Stars
Timu ya Taifa “Taifa Stars” inashuka dimbani leo kwenye dimba la El Merriekh,Omdurman kucheza dhidi ya Sudan mchezo wa marudiano kutafuta tiketi kufuzu CHAN. Mchezo huo una umuhimu mkubwa kwa Taifa Stars kupata ushindi utakaowapa nafasi ya kuvuka. Kuelekea mchezo huo...