Hali ya Hewa Imeigharimu Timu

Hali ya Hewa Imeigharimu Timu

Hali ya Hewa Imeigharimu Timu Timu ya Taifa ya wasichana chini ya miaka 20 Tanzanite imeshindwa kuendelea na safari ya kuwania tiketi ya kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia 2022, mara baada ya kupoteza katika mchezo wake wa marudiano dhidi ya Ethiopia Februali 04,...
Tanzanite VS Ethiopia Leo

Tanzanite VS Ethiopia Leo

Tanzanite VS Ethiopia Leo Mchezo wa marudiano kati ya timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20 “Tanzanite” dhidi ya timu ya wanawake chini ya miaka 20 ya Ethiopia unatarajiwa kupigwa leo majira ya sa 10:00 jioni katika Dimba la Abebe Bikila-Addis Ababa nchini...
Tanzanite wakijipima 9 December

Tanzanite wakijipima 9 December

Tanzanite Kucheza Mechi ya Kirafiki Dhidi ya Uganda Siku ya Uhuru, Disemba 9 Timu ya Taifa ya wasichana wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) inatarajia kushuka dimbani Disemba 9, 2021 kwenye sherehe za maazimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika kucheza mchezo...
Tanzanite yasafisha njia kuelekea Costa Rica

Tanzanite yasafisha njia kuelekea Costa Rica

Tanzanite Yaanza Vyema Safari Kulekea Costa-Rica 2022 Mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki Kombe la Dunia kati ya timu ya Taifa ya Tanzania “Tanzanite” na Burundi umemalizika kwa Tanzanite kuibuka na ushindi wa mabao 3-2, kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa Desemba 4 saa...