by tff admin | Nov 19, 2021 | Beach Soccer, Coaching, Fantasy, Grassroots-For Kids, Home Videos, Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, Men's Beach Soccer, News, Racing, Referees, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Uncategorized, Videos, Women's Premier League
Amos Makala: Rais Karia Ameandika Historia Mpya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makala amesema Rais wa TFF Wallace Karia ameandika historia mpya kwa kutekeleza kikamilifu na kwa vitendo vipaumbele vyote alivyoviainisha wakati anaingia madarakani mwaka 2017....
by tff admin | Nov 6, 2021 | News, The Tanzanite
Tanzanite Yashindwa Kutamba kwa Uganda Timu ya Taifa ya Tanzania Tanzanite inayoshiriki mashindano ya CECAFA Women’s U20 Championship 2021 kwa mara nyingine imepoteza kwenye mchezo wake wanne dhidi ya Uganda baada ya kufanya hivyo pia kwenye mchezo wake uliopita dhidi...
by tff admin | Oct 15, 2021 | News, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars
Rais Samia apiga simu katika Hafla ya Wizara kuwapongeza Twiga Stars usiku wa jana. Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga simu katikati ya hafla ya Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi...
by tff admin | Oct 9, 2021 | News, Tanzania Bara U20, The Tanzanite
Tanzanite Yazima Ndoto za Eritrea Kibabe Timu ya Taifa Tanzania ya wanawake wenye umri chini ya miaka ishirini (U20) ijulikanayo kwa jina la ‘TANZANITE’ imefanikiwa kuifunga timu ya Eritrea kwa mara nyingine tena mara baada ya kufanya hivyo katika mchezo wa kwanza...
by tff admin | Oct 8, 2021 | News, Tanzania Bara U20, The Tanzanite
Tanzanite Queens Kuivaa Eritrea Chamazi Kikosi cha timu ya Taifa ya wanawake wenye umri chini ya miaka 20 Tanzania (Tanzanite Queens) kinatarajia kushuka dimbani hapo kesho 09 /1O/2021 katika mchezo wa marudiano dhidi ya timu ya Eritrea katika Dimba la Azam Complex,...
by tff admin | Sep 30, 2021 | News, The Tanzanite
Tanzanite Queen’s Yarejea Nyumbani Ikitabasamu Kikosi cha timu ya Taifa ya wanawake wenye umri chini ya miaka 20 (U-20) kimerejea Leo Septemba 28, 2021 kikitokea nchini Eritrea walipokwenda kucheza mchezo dhidi ya wenyeji ‘Eritrea’ ikiwa ni katika harakati za...