by tff admin | Jan 21, 2020 | News, The Tanzanite
Tanzania yaanza vema harakati za kuwania kufudhu kucheza mashindano ya U20 ya dunia Timu ya Taifa ya wanawake U20 imeanza vema harakati za kuwania kufudhu kushiriki michuano ya kombe la dunia yanayotarajiwa kufanyika Novemba, 2020 huko Panama na Costarica baada ya...
by tff admin | Aug 12, 2019 | News, The Tanzanite
Mabingwa wa Cosafa,Timu ya Taifa ya Wanawake U20 “Tanzanite” imewasili ikitokea Port Elizabeth,Afrika Kusini ilipokua ikishiriki mashindano ya Cosafa. Tanzanite imetua saa 1 na nusu usiku ikiwa na Kombe la Ubingwa wa mashindano hayo pamoja na medali za dhahabu....
by tff admin | Aug 12, 2019 | News, The Tanzanite
Timu ya Taifa ya Wanawake U20 “Tanzanite” inatarajia kurudi leo ikitokea Port Elizabeth,Afrika Kusini ilipokua ikishiriki mashindano ya Cosafa. Tanzanite itatua saa 12 na nusu jioni ikiwa na Kombe la Ubingwa wa mashindano hayo. Katika mashindano ya Cosafa,Tanzanite...
by tff admin | Aug 8, 2019 | News, The Tanzanite
Timu ya Taifa ya Wanawawake U20 “Tanzanite” imefanikiwa kutinga Fainali ya COSAFA baada ya kuwachapa wenyeji Afrika Kusini kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Gelvandale,Port Elizabeth,Afrika Kusini. Mabao ya Tanzania yamewekwa wavuni na Nahodha Enekia Kasonga na Opa...
by tff admin | Aug 6, 2019 | News, The Tanzanite
Timu ya Taifa ya Wanawake U20 “Tanzanite” itacheza na wenyeji Afrika Kusini kwenye mchezo wa nusu fainali ya Mashindano ya COSAFA. Tanzania imemaliza katika nafasi ya pili kwenye Kundi B baada ya kupoteza mchezo wake wa mwisho wa hatua ya Makundi kwa mabao 2-1 dhidi...