by tff admin | Aug 4, 2019 | News, The Tanzanite
Timu ya Taifa ya Wanawake U20 “Tanzanite” imefanikiwa kukata tiketi ya kucheza nusu Fainali ya Mashindano ya COSAFA yanayoendelea Port Elizabeth,Afrika Kusini. Baada ya ushindi wake wa mabao 8-0 dhidi ya Eswatini,Tanzania imefanikiwa kutinga hatua hiyo ya nusu fainali...
by tff admin | Aug 2, 2019 | News, The Tanzanite
Timu ya Taifa ya Wanawake U20 “Tanzanite” imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Botswana kwenye mchezo wa Mashindano ya COSAFA uliochezwa Uwanja wa Gelvalande,Port Elizabeth,Afrika Kusini. Tanzanite waliandika bao la kwanza katika kipindi cha kwanza kupitia kwa...
by tff admin | Aug 1, 2019 | News, The Tanzanite
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake U20 “Tanzanite” leo asubuhi wamefanya mazoezi mazoezi yao ya Kwanza tokea wamewasili Port Elizabeth,Afrika Kusini kwenye mashindano ya Wanawake U20 ya COSAFA yanayoanza leo Agosti 1-11,2019. Tanzanite itaanza kibarua chake kwa...
by tff admin | Jul 31, 2019 | News, The Tanzanite
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake U20 “Tanzanite” kimeondoka kuelekea Port Elizabeth,Afrika Kusini kwa mashindano ya COSAFA yatakayoanza Agosti 1-11,2019. Tanzanite iliyopo Kundi B kwenye mashindano hayo imeondoka na Wachezaji 20. Karata ya Kwanza ya Tanzanite...
by tff admin | Jul 10, 2019 | News, The Tanzanite
Timu ya Taifa ya Vijana ya Wanawake U20 “Tanzanite” inaendelea kujiandaa na mashindano ya COSAFA yatakayofanyika nchini Afrika Kusini. Kikosi cha Wachezaji 29 kipo Kambini Shule ya Filbert Bayi Kibaha ikifanya maandalizi asubuhi na jioni. Leo Kikosi hicho kimefanya...
by tff admin | Jun 12, 2019 | Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, News, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limezindua jezi mpya ya timu za Taifa zitakazotumika nyumbani na ugenini. Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo alikua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars Paul Makonda. Jezi...