by tff admin | Jan 11, 2025 | News, The Tanzanite, Twiga Stars, Women's Premier League
Chabruma: Tuna kiu ya kutwaa ubingwa mashindano ya GIFT Kocha wa timu ya JKT Queens U-17 Esther Chabruma amesema ana kiu ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya CAF ya wasichana chini ya miaka 17 Girls Integrated Football Tournament ‘GIFT’ yanayoendelea...
by tff admin | Jul 20, 2024 | News, Twiga Stars
Twiga Stars Mabingwa Tunis Women’s Cup Timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” imetwaa Ubingwa mashindano ya Tunis Women’s Cup 2024 yaliyofanyika nchini Tunisia yakishirikisha nchi za Tanzania, Botswana na wenyeji Tunisia. Twiga Stars ilifikia...
by tff admin | Jun 1, 2024 | News, Twiga Stars
Kocha Shime Aridhishwa na Uwezo wa Nyota Wake Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” Bakari Shime ameweka wazi kirudhishwa na Uwezo walioonyesha nyota wake kwenye mechi mbili za kimataifa za kirafiki zioizochezwa mwishoni mwa mwezi Mei hapa...
by tff admin | May 24, 2024 | News, Twiga Stars
Kikosi cha Timu ya Taifa (Twiga Stars) Kambini Kwa Michezo Miwili ya Kirafiki Kikosi cha wachezaji 22 wa timu ya Taifa (Twiga Stars) kimeingia kambini Mei 24, 2024 kujiandaa na mechi za kirafiki kwa mujibu wa kalenda ya FIFA inayo tarajiwa kucheza mwishoni mwa mwezi...
by tff admin | Feb 23, 2024 | News, Twiga Stars
Twiga Stars Kamili Kubakisha Alama Tatu Nyumbani Timu ya Taifa ya wanawake “Twiga Stars” iliyokwenye orodha ya timu nane Afrika zilizo salia katika kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya Olimpiki, Februari 23, 2024...
by tff admin | Jan 24, 2024 | News, Twiga Stars
Serengeti Girls yaingia Kambini kujiandaa na mchezo wa kufuzu kombe la Dunia hey Timu ya Taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls) imeingia kambini Januari 23, 2024 kujiandaa na mchezo wa hatua ya kwanza wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Zambia....