Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Donge – Tanga

Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Donge – Tanga

Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Tanga May 08 2021, Katika eneo la mradi Donge, Tanga. Baada ya kumaliza zowezi la ukaguzi wa mradi ulioko kigamboni, Dar es Salaam May 07, 2021 wajumbe hao wamendelea na zoezi la ukaguzi katika...
Wajumbe wa kamati ya Ukaguzi na Udhibiti TFF watembelea Mradi wa Kigamboni Dar es salaam

Wajumbe wa kamati ya Ukaguzi na Udhibiti TFF watembelea Mradi wa Kigamboni Dar es salaam

Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) , Wallace Karia akiambatana na wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti hii leo May 7, 2021 kukagua mradi wa TFF ulioko Kigamboni, Dar es Salaam. Mradi wa Kigamboni ni moja kati ya miradi mikubwa inayo tekelezwa na...
Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020.

Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020.

Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewakabidhi kampuni ya Group Six International eneo la ujenzi hii leo 29 Septemba, 2020...
YANGA PRINCESS Vs RUVUMA QUEENS

YANGA PRINCESS Vs RUVUMA QUEENS

Yanga  Yashinda Tena Uhuru, Yaipiga Ruvuma 2-0 Mchezo uliochezwa kati ya Yanga Princess na Ruvuma Queens ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 2-0 na kukifanya kikosi hicho kinachonolewa na Edna Lema kujiongezea alama tatu na kuzidi kujihakikishia kubaki...