by tff admin | Mar 25, 2020 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, News, Women's Premier League
Bodi ya ligi yasimamisha ligi zote Tanzania Bara Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya ligi Tanzania Bara, ndugu Almasi J. Kasongo kwa niaba ya makubaliano ya pamoja ya kikao cha bodi hiyo, amesema kuwa michezo na mashindano yote yanayosimamiwa na bodi hiyo ya ligi Tanzania...
by tff admin | Jan 10, 2020 | Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News, Women's Premier League
Upangaji wa ratiba ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) mzunguko wa 4 umefanyika leo ikishirikisha timu 64. Droo hiyo ya upangaji ratiba imehusisha timu za Ligi Kuu ya Vodacom(VPL),Daraja la Kwanza(FDL),Daraja la Pili (SDL) na Bingwa wa mkoa. Ratiba...
by tff admin | Dec 14, 2019 | News, Women's Premier League
Mtanange wa mechi roundi ya nne kati ya Yanga Princess na Simba Queens unaendelea katika uwanja wa Karume ambapo mpaka sasa Simba Queens anaongoza kwa goli 2-1……… Ni katika dakika ya 13 tatu tu ambapo nahodha wa timu ya Simba Queens jezi namba7; Mwanahamisi...
by tff admin | Nov 20, 2019 | News, Women's Premier League
Timu ya Taifa ya wanawake ya Djibouti imekubali kipigo cha bao 12 mbele ya Timu ya Kenya katika michuano ya CECAFA ya wanawake inayoendelea Uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam. Katika mchezo huo Kenya wamepata Hat trick tatu kutoka kwa Mercy Airo ambaye alitokea...
by tff admin | May 19, 2019 | News, Women's Premier League
Pazia la Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite limefungwa leo huku JKT Queens wakiibuka mabingwa bila kupoteza mchezo wowote. Huu ni msimu wa pili mfululizo kwa JKT Queens kuchukua ubingwa bila kupoteza mchezo. Katika mchezo wake wa leo JKT Queens imeibuka na...
by admin | Mar 8, 2019 | Women's Premier League
Mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Wanawake Tanzana Bara maarufu kama Serengeti Lite Women’s Premier League unatarajiwa kuanza kutimua vumbi siku ya Jumamosi, Machi 9 2019. Mwenyekiti wa Kamati ya Soka la Wanawake, Amina Karuma amesema wanatarajia kuona mzunguko wa pili...