by admin | Jan 27, 2019 | Women's Premier League
MABINGWA watetezi wa kombe la Ligi ya Wanawake, JKT Queens jana katika Uwanja wa Nyamagana waliifunga timu ya Marsh mabao 8-0 kwenye mchezo wa ligi maarufu kama Serengeti Lite Women’s Premier League. Wakati wao wakifanya hivyo mahasimu wao Simba Queens wao...
by admin | Jan 13, 2019 | Women's Premier League
Patashika ya Ligi kuu ya wanawake ‘Women’s Premier League’ iliyoendelea leo kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam kwa kuwakutanisha watani wa Jadi upande wa wanawake, imeshuhudia Simba Queens ikiitandika bila huruma Yanga Princess mabao saba...
by admin | Jan 7, 2019 | Women's Premier League
WAKATI Ligi Kuu Soka ya Wanawake Tanzania Bara (SWPL) iliyoanza hivi karibuni ikipamba moto, ushindani wa ligi hiyo umezidi kushika kasi. Ligi hiyo ambayo inadhaminiwa na Bia ya Serengeti Lite, msimu huu imeongezeka utamu kuliko ule wa misimu miwili iliyopita kutokana...
by admin | Dec 27, 2018 | Women's Premier League
LIGI Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite inatarajia kuanza Jumamosi , Disemba 29,2018 ikishirikisha timu 12. Ligi hiyo itachezwa kwa mtindo wa nyumbani na ugenini. Akizungumza kuelekea kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu ya Serengeti Premium...