Course ya wakufunzi wasaidizi wa Grassroots iliyoanza leo Mkoani Morogoro itakayofanyika kwa siku tatu, Course inaendeshwa na Technical Director wa TFF Oscar Mirambo pamoja na Mkufunzi wa Grassroots Raymond Gweba