Kikosi cha Wachezaji 32 wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kinaondoka leo kuelekea nchini Misri kwa Kambi ya maandalizi ya mashindano ya AFCON.

Wakiwa Misri Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti watacheza michezo miwili ya Kirafiki na Misri Juni 13,2019,Zimbabwe Juni 16,2019.

Kiungo Himid Mao ataungana na timu nchini Misri alikokua kwenye majukumu na Klabu yake.

Kikosi kitakachopiga Kambi Misri ni

Makipa
Metacha Mnata (Mbao)
Aishi Manula (Simba SC)
Aron Kalambo (Tz Prisons)
Seleman Salula (Malindi)
Claryo Boniface (U18)

Mabeki
Kelvin Yondani (Yanga)
Hassan Kessy (Nkana, Zambia)
Vicent Philipo (Mbao)
Gadiel Michael (Yanga)
Mohamed Hussein (Simba)
Ally Mtoni(Lipuli)
Erasto Nyoni (Simba)
David Mwantika (Azam)
Agrey Moris (Azam)
Abdi Banda (Baroka, Afrika Kusini)

Viungo
Feisal Salum (Yanga)
Mudathir Yahya (Azam)
Fred Tangalu (Lipuli)
Frank Domayo (Azam)
Himid Mao (Petrojet, Misri)

Washambuliaji
Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji)
Simon Msuva (Difaa El Jadid, Morocco)
Shiza Kichuya (ENPPI, Misri)
Farid Mussa (Tenerife, Hispania)
Miraji Athumani (Lipuli)
Adi Yussuf (Blackpool, England)
Yahya Zayd (Ismaily, Misri)
Thomas Ulimwengu (JS Soura, Algeria)
Shaban Chilunda (Tenerife, Hispania)
John Bocco (Simba)
Kelvin John (U17)
Rashid Mandawa (BDF XI,Botswana)