Kaimu Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Etiene Ndairagije ametaja kikosi cha Wachezaji 26 kitakachojiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya.

Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti itaingia Kambini Julai 21,2019 Dar es Salaam.

Wachezaji walioitwa

1.Aishi Manula (Simba)
2.Kaseja Juma (KMC)
3.Metacha Mnata (Young Africans)
4.Paul Godfrey (Young Africans)
5.Boniface Maganga(KMC)
6.Gadiel Michael (Simba)
7.Paul Ngalema (Namungo FC).
8.David Mwantika (Azam Fc)
9.Iddi Mobi(Polisi Tanzania)
10..Yondani Kelvin (Young Africans)
11.Erasto Nyoni (Simba)
12.Jonas Mkude(Simba)
13.Abdulaziz Makame (Young Africans)
14.Mudathir Yahaya (Azam)
15.Ibrahim Ajib (Simba)
16.Salim Aye (KMC)
17.Saloum Aboubakar (Azam)
18.Masoud Abdallah (Azam)
19.John Bocco (Simba)
20.Ayoub Lyanga (Coastal Union)
21.Kelvin John(U17)
22.Feisal Toto (Young Africans)
23.Frank Domayo (Azam Fc)
24.Hassan Dilunga (Simba)
25.Iddy Nado (Azam FC)
26.Shaban Idd Chilunda (Azam FC)

Mchezo wa Kwanza utachezwa Julai 28,2019 Uwanja wa Taifa na marudiano itakua Agosti 4,2019 nchini Kenya.