Kaimu Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Ettiene Ndairagije ametaja Wachezaji 28 wanaoingia Kambini kujiandaa na mchezo wa Kirafiki dhidi ya Rwanda utakaochezwa Kigali,Rwanda Oktoba 14,2019

Kikosi kilichotajwa :

Juma Kaseja -KMC
Metacha Mnata -Young Africans
Said Kipao-Kagera
Salum Kimenya-Tz Prisons
Shomari Kapombe-Simba
Gadiel Michael-Simba
Mohamed Hussein-Simba
Kelvin Yondan-Young Africans
Erasto Nyoni-Simba
AbdulAziz Makame-Young Africans
Bakari Nondo-Coastal Union
Jonas Mkude-Simba
Mudathir Yahaya-Azam FC
Idd Suleiman-Azam FC
Salum Abubakar-Azam FC
Frank Domayo-Azam FC
Muzamil Yassin-Simba
Kelvin John-Under 20
Andrew Simchimba-Coastal Union
Shaaban Idd-Azam FC
Ayoub Lyanga-Coastal Union
Miraji Athuman-Simba
Feisal Salum-Young Africans
Mbwana Samatta-KRC Genk,Belgium
Simon Msuva-Al Jadid,Morocco
Abdilaiye Yusuph -Solihull,England
Farid Mussa-Tenerife,Hispania
Himid Mao-ENPPI,Misri

Kocha ameita wachezaji wengi wa ndani ili kupata nafasi ya maandalizi kwa mchezo wa CHAN dhidi ya Sudan utakaochezwa Sudan