Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Emmanuel Amunike Kesho Ijumaa Machi 8,2019 anatarajia kutaja Kikosi kitakachocheza mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza Fainali za Afrika mwaka huu dhidi ya Uganda.
Mkutano huo unatarajia kufanyika Makao Makuu ya TFF,Karume Ilala saa 5:00 asubuhi.