Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja Kikosi kitakachoingia kambini kujiandaa kwa mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Equatorial Guinea utakaochezwa Ijumaa Novemba 15,2019.
Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti itacheza mchezo mwingine dhidi ya Libya Novemba 19,2019.
Kocha Ndairagije Ettiene ameita wachezaji 27
Kikosi kilichotajwa :
Juma Kaseja -KMC
Metacha Mnata -Young Africans
David Kisu-Gor Maria,Kenya
Salum Kimenya-Tz Prisons
Ramadhan Kessy -Nkana,Zambia
Gadiel Michael-Simba
Mohamed Hussein-Simba
Kelvin Yondan-Young Africans
Erasto Nyoni-Simba
AbdulAziz Makame-Young Africans
Bakari Nondo-Coastal Union
Jonas Mkude-Simba
Eliuter Mpepo -Buildcon,Zambia
Idd Suleiman-Azam FC
Salum Abubakar-Azam FC
Frank Domayo-Azam FC
Muzamiru Yassin-Simba
Kelvin John-Football House
Dickson Job -Mtibwa Sugar
Shaaban Idd-Azam FC
Ayoub Lyanga-Coastal Union
Miraji Athuman-Simba
Ditram Nchimbi -Polisi Tanzania
Simon Msuva-Al Jadid,Morocco
Farid Mussa-Tenerife,Hispania
Hassan Dilunga-Simba
Mbwana Samatta