Upangaji wa ratiba ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) mzunguko wa 4 umefanyika leo ikishirikisha timu 64.

Droo hiyo ya upangaji ratiba imehusisha timu za Ligi Kuu ya Vodacom(VPL),Daraja la Kwanza(FDL),Daraja la Pili (SDL) na Bingwa wa mkoa.

Ratiba raundi ya 4

Gwambina vs Ruvu Shooting

African Sports vs Alliance

Polisi Tanzania vs Mbeya City

Ndanda Fc vs Dodoma Fc

Majimaji Fc vs Stand Utd.

Ihefu Fc vs Gipco Fc

KMC vs Pan Africa

Panama Fc vs Mtwivila Fc

Namungo Fc vs Biashara United

Mtibwa Sugar vs Sahare All Stars

JKT Tanzania vs Tukuyu Stars

Simba Sc vs Mwadui Fc

Young Africans vs Tanzania Prisons

Azam fc vs Friends Rangers

Kagera Sugar vs Might Elephant

Lipuli vs Kitayosa

Fainali ya mashindano hayo inatarajia kufanyika Rukwa Mei 30,2020 Uwanja wa Nelson Mandela