Taifa Stars

Stars” Hesabu Kali Dhidi ya Mongolia

Stars” Hesabu Kali Dhidi ya Mongolia Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kilichopo Azerbaijan kwaajili ya michezo miwili ya kirafiki “FIFA Series 2024” kimeendelea na hesabu za kuuendea mchezo wake wa pili na wa mwisho dhidi ya Mongolia utakao chezwa Machi 25, 2024 majira ya saa 10:00 za jioni. Mikakati hiyo mikali […]

Mashindano ya FIFA Series ni Faida kwa Stars

Mashindano ya FIFA Series ni Faida kwa Stars Kauli ya Mkurugenzi wa Sheria, habari na Masoko TFF Boniface Wambura kufuatia mashindano mapya ” FIFA Series 2024″ yaliyoanzishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA Kwa lengo la kukutanisha timu za mabara tofauti kwenye Michezo ya kirafiki Kwa mujibu wa kalenda ya FIFA maarufu FIFA […]

Waziri Ndumbaro Amesisitiza Hamasa Timu za Taifa

Waziri Ndumbaro Amesisitiza Hamasa Timu za Taifa Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mh. Damas Ndumbaro ametoa rai kwa watanzania wote kuunganan na Serikali pamoja na TFF katika kuzisapoti timu za Taifa hasa zile zilizo fuzu kushiriki michuano ya Afrika (AFCON na WAFCON). Aliyasema hayo wakati wa mkutano mkuu wa 10 wa Bodi ya Ligi […]

Taifa Stars Yafuzu AFCON Mbele ya Miamba Algeria, Yavuna  Milioni 500 za Samia

Taifa Stars Yafuzu AFCON Mbele ya Miamba Algeria, Yavuna  Milioni 500 za Samia Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imefanikiwa kufuzu kushiriki Michuano Mikubwa ya AFCON baada ya kuitunishia misuli timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo uliopigwa Agosti 7, 2023 nchini Algeria ambapo Stars ilivuna alama moja muhimu iliyoipatia fursa ya kushika nafasi […]

Tanzania yaichapa Ethiopia goli 2-0 Azam Complex, Chamazi

Tanzania yaichapa Ethiopia goli 2-0 Azam Complex, Chamazi Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 18 imeendeleza ubabe wake mara baada ya kuichapa timu ya Ethiopia goli 2-0 katika mashindano ya CECAFA U-18 yanayoendelea katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam. Mchezo huo uliokuwa ukisubiriwa na wengi ulianza kwa […]

Hemed Morocco:Tumejiandaa kuwapa Furaha watanzania

Hemed Morocco:Tumejiandaa kuwapa Furaha watanzania Kocha msaidizi wa timu ya Taifa Hemed Suleiman ‘Morocco’ amesema Taifa Stars imejipanga kuwapa furaha watanzania katika mchezo wa marudiano wa kufuzu AFCON dhidi ya timu ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ utakaopigwa Jumanne Machi 28,2023 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam majira ya sa 2:00 usiku. Akizungumza […]

Rais Samia Akoleza Mzuka Stars

Rais Samia Akoleza Mzuka Stars, Aongeza Tiketi Elfu Tano na Aahidi Kila Bao 10Milioni Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongeza Idadi ya tiketi kutoka elfu mbili (2000) hadi tiketi Elfu Saba (7000) kwa ajili ya kuwagawia mashabiki wanaotaka kuiona Stars kwenye mchezo wao wa marudiano utakaopigwa Machi 28 […]

Taifa Stars yabeba alama tatu dhidi ya Uganda

Taifa Stars yabeba alama tatu dhidi ya Uganda Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imebeba alama tatu dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ baada ya kupata ushindi wa goli 1-0 katika mchezo wa kufuzu AFCON uliopigwa majira ya saa 11:00 jioni katika uwanja wa Suez Canal, Misri. Goli pekee la ushindi […]

Rais Samia aahidi kutoa  tiketi 2000 kwa mashabiki wa Taifa Stars

Rais Samia aahidi kutoa  tiketi 2000 kwa mashabiki wa Taifa Stars Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa tiketi 2000 kwa mashabiki wa Taifa Stars kwa ajili ya kwenda kushuhudia mchezo wa marudiano  wa kufuzu AFCON Kati ya Taifa Stars  dhidi ya Uganda utakaopigwa katika uwanja wa Benjamin […]

RECENT VIDEOS

TAIFA STARS