Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo imefanya mazoezi yake ya kwanza ikiwa kwenye Kambi ya Misri
Taifa Stars imefanya mazoezi jioni kwenye Uwanja wa Movenpick
Wachezaji 32 wapo kwenye Kambi huko Misri ambapo watachujwa na kubaki wachezaji 23 kwaajili ya mashindano ya AFCON
Wachezaji waliopo Misri ni
Metacha Mnata (Mbao)
Aishi Manula (Simba SC)
Aron Kalambo (Tz Prisons)
Seleman Salula (Malindi)
Claryo Boniface (U18)
Mabeki
Kelvin Yondani (Yanga)
Hassan Kessy (Nkana, Zambia)
Vicent Philipo (Mbao)
Gadiel Michael (Yanga)
Mohamed Hussein (Simba)
Ally Mtoni(Lipuli)
Erasto Nyoni (Simba)
David Mwantika (Azam)
Agrey Moris (Azam)
Abdi Banda (Baroka, Afrika Kusini)
Viungo
Feisal Salum (Yanga)
Mudathir Yahya (Azam)
Fred Tangalu (Lipuli)
Frank Domayo (Azam)
Himid Mao (Petrojet, Misri)
Washambuliaji
Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji)
Simon Msuva (Difaa El Jadid, Morocco)
Shiza Kichuya (ENPPI, Misri)
Farid Mussa (Tenerife, Hispania)
Miraji Athumani (Lipuli)
Adi Yussuf (Blackpool, England)
Yahya Zayd (Ismaily, Misri)
Thomas Ulimwengu (JS Soura, Algeria)
Shaban Chilunda (Tenerife, Hispania)
John Bocco (Simba)
Kelvin John (U17)
Rashid Mandawa (BDF XI,Botswana)