Timu ya Taifa ya Wasichana U17 wakiondoka kuelekea Kampala kwa mchezo wa marudiano kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Uganda U17 utakaochezwa Jumamosi Machi 14,2020,Wachezaji na Viongozi wanaondoka huku wakichukua tahadhari ya Virusi vya ugonjwa wa Corona