Warning: The magic method NF_FU_File_Uploads::__wakeup() must have public visibility in /home3/o6e437ct/public_html/wp-content/plugins/ninja-forms-uploads-3.0.19/includes/file-uploads.php on line 225

Deprecated: Optional parameter $is declared before required parameter $frame_val is implicitly treated as a required parameter in /home3/o6e437ct/public_html/wp-content/plugins/revslider/includes/operations.class.php on line 656

Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in /home3/o6e437ct/public_html/wp-content/plugins/revslider/includes/operations.class.php on line 2858

Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in /home3/o6e437ct/public_html/wp-content/plugins/revslider/includes/operations.class.php on line 2862

Deprecated: Optional parameter $publishedOnly declared before required parameter $slide is implicitly treated as a required parameter in /home3/o6e437ct/public_html/wp-content/plugins/revslider/includes/slider.class.php on line 2284

Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in /home3/o6e437ct/public_html/wp-content/plugins/revslider/includes/output.class.php on line 3708

Deprecated: Optional parameter $item_count declared before required parameter $app_secret is implicitly treated as a required parameter in /home3/o6e437ct/public_html/wp-content/plugins/revslider/includes/external-sources.class.php on line 67

Deprecated: Optional parameter $item_count declared before required parameter $app_secret is implicitly treated as a required parameter in /home3/o6e437ct/public_html/wp-content/plugins/revslider/includes/external-sources.class.php on line 89

Deprecated: Optional parameter $item_count declared before required parameter $current_photoset is implicitly treated as a required parameter in /home3/o6e437ct/public_html/wp-content/plugins/revslider/includes/external-sources.class.php on line 1119
{"id":8449,"date":"2022-02-23T16:02:00","date_gmt":"2022-02-23T13:02:00","guid":{"rendered":"https:\/\/tff.or.tz\/?p=8449"},"modified":"2022-02-23T16:02:00","modified_gmt":"2022-02-23T13:02:00","slug":"shime-aanza-kuchanga-karata-zake-kombe-la-dunia-india-u17","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.tff.or.tz\/shime-aanza-kuchanga-karata-zake-kombe-la-dunia-india-u17\/","title":{"rendered":"Shime Aanza Kuchanga Karata Zake Kombe la Dunia India U17"},"content":{"rendered":"

Shime Aanza Kuchanga Karata Zake Kombe la Dunia India<\/strong><\/p>\n

Jumla ya wachezaji 26 wanaounda timu ya Taifa ya wasichana chini ya miaka 17 wimeingia kambini huko visiwani Zanzibar kuiwinda Botswana kwenye mchezo wao wa awali unaotarajiwa kuchezwa Machi 06, 2022 ikiwa ni katika kuisaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia mwezi Oktoba mwaka huu huko nchini India.<\/p>\n

U17 ambao wamefunga safari hii leo kutokea Dar es Salaam tayari wamewasili Zanzibar wakiwa chini ya Kocha mkuu Bakari Shime, ambaye alisema kuwa wamepata uzoefu mkubwa wa mashindano ya aina hiyo mara baada ya kutoka kushiriki na timu ya Tanzanite ambayo ilifanikiwa kufika mpaka hatua ya nne kwenye mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia nchini Costa Rica kabla ya kukwamishwa\u00a0 na Ethiopia wakipoteza kwenye mchezo wa ugenini.<\/p>\n

Shime alisema kikosi chake kipo tayari kwaajili ya mchezo kwani maandalizi walianza mapema tangu wakiwa kwenye mashindano waliyokuwa wakishiriki timu ya Tanzanite kutokana na kuwa asilimia kubwa ya timu ya Tanzanite inaundwa na wachezaji ambao wanachezea timu ya U17, hivyo kambi yao itakuwa ni kufanya maandalizi ya mwisho.<\/p>\n

\u201ctumejifunza mengi, tumefahamu sababu ambazo zilipelekea kushindwa kuendelea na mashindano na kufikia pale tulipokusudia kufika hivyo uzoefu huo ndio tutahakikisha tunakwenda nao kwa wakati huu ili kuweza kufikia malengo yetu ya timu ya U17. Tupo kwenye mchakato wa kutafuta maendeleo ya kweli ya mpira, na haijalishi ni wakati gani tutafikia hapo isipokuwa ni muhimu kufuata taratibu tulizojiwekea.\u201d Kocha Bakari Shime<\/p>\n

U17 wamewahi kushiriki mashindano kama hayo mwaka 2019-2020 ambapo waliishia kwenye hatua ya 3 mara baada ya \u00a0kupoteza kwenye mchezo wa ugenini dhidi ya Uganda , kabla ya mchezo huo walimtoa Burundi kwa kumfunga michezo yote miwili wakiwa ugenini na nyumbani.Hata hivyo mashindano hayo hayakuendelea mbele zaidi kutokuana na mlipuko wa ugonjwa wa Uviko 19.<\/p>\n

 <\/p>\n

 <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"

Shime Aanza Kuchanga Karata Zake Kombe la Dunia India Jumla ya wachezaji 26 wanaounda timu ya Taifa ya wasichana chini ya miaka 17 wimeingia kambini huko visiwani Zanzibar kuiwinda Botswana kwenye mchezo wao wa awali unaotarajiwa kuchezwa Machi 06, 2022 ikiwa ni katika kuisaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia mwezi Oktoba mwaka huu huko […]<\/p>\n","protected":false},"author":4,"featured_media":8450,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_et_pb_use_builder":"","_et_pb_old_content":"","_et_gb_content_width":"","footnotes":""},"categories":[23,11],"tags":[],"class_list":["post-8449","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-kilimanjaro-queens","category-bd-news"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.tff.or.tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/8449","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.tff.or.tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.tff.or.tz\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.tff.or.tz\/wp-json\/wp\/v2\/users\/4"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.tff.or.tz\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=8449"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/www.tff.or.tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/8449\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":8451,"href":"https:\/\/www.tff.or.tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/8449\/revisions\/8451"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.tff.or.tz\/wp-json\/wp\/v2\/media\/8450"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.tff.or.tz\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=8449"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.tff.or.tz\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=8449"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.tff.or.tz\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=8449"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}