Azam Veterani na TFF Staff

Azam Veterani na TFF Staff

Azam Veterani na TFF Staff  Wanogesha Siku ya Kuchangia Damu kwa Mechi ya Kirafiki Mechi kati ya Azam ‘Veterani’ na TFF ‘Staffs’ imepigwa leo katika uwanja wa Azam Complex uliopo Mbagala pembezoni kidogo mwa Jiji la Dar es Salaam ambapo mchezo huo ulikuwa ni wa...
Mechi kati ya WALIOOA Vs WASIOOA

Mechi kati ya WALIOOA Vs WASIOOA

TFF ya Farijika na Hamasa  Kutoka kwa Mashabiki na Wanahabari wa Soka Nchi Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ndugu, Kidao Wilfred amesema amefarijika na umati mkubwa uliojitokeza katika kushuhudia mchezo wa kirafiki  kati ya wandishi wa habari...
Tanzania ya Beba Kombe Michuano ya TFF U16

Tanzania ya Beba Kombe Michuano ya TFF U16

Tanzania ya Beba Kombe Michuano ya TFF U16,2020 Michuano ya TFF imeendelea hii leo March 14, 2020 kwa kuzikutanisha timu za vijana Tanzania U16 dhidi ya Liberia U16 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Ikiwa ni mchezo wa mwisho mara baada ya timu zote kushinda...
Kibadeni na Manara waungwa mkono na TFF

Kibadeni na Manara waungwa mkono na TFF

King Kibadeni Mputa na Sanday Manara Wapata Neema ya Mipira Kutoka TFF. Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF hii leo (20Feb, 2020) katika ofisi zake zilizopo Karume Dar es Salaam limekabidhi mipira kwa kituo cha kukuzia vipaji cha “KIBADENI INTERNATIONAL SOCCER...