Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020.

Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020.

Ujenzi wa Kituo cha Kukuzia Vipaji vya Mpira wa Miguu na Viwanja Kigamboni na Tanga Kuanza Rasmi Oktoba, 2020. Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewakabidhi kampuni ya Group Six International eneo la ujenzi hii leo 29 Septemba, 2020...
Ratiba ya Ligi Msimu wa 2020/2021 Yatangazwa.

Ratiba ya Ligi Msimu wa 2020/2021 Yatangazwa.

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) Yaweka Wazi Ratiba ya Ligi Msimu wa 2020/2021Nchini Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), Almasi Kasongo ametangaza tarehe rasmi ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu 2020/2021 na kutoa ratiba nzima ya ligi hiyo...
Kocha Bakari Shime Aipongeza TFF

Kocha Bakari Shime Aipongeza TFF

Kocha Bakari Shime Aipongeza TFF kwa Kuandaa Ligi ya Wasichana Shule za Msingi Dar es Salaam Kocha wa timu za Taifa za wanawake Bakari Shime amesema kuwa TFF imefanya jambo la msingi na kubwa kwa kuandaa mashindano ya CAF ya ligi ya wasichana wa shule za msingi...
Ligi ya Wasichana wa Shule za Msingi U15 Yaanza

Ligi ya Wasichana wa Shule za Msingi U15 Yaanza

Ligi ya Wasichana wa Shule za Msingi U15 Dar es Salaam Yaanza Huku Timu ya Fountain Gate Ikitoa Kichapo Kitakatifu Michuano ya ligi ya wasichana wa shule za Msingi inayozikutanisha timu nane(8) kutoka shule mbalimbali zilizopo katika mkoa wa Dar es Salaam  yamefanyika...