BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini

BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini

BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetoa tuzo kwa wanamichezo Bora nchini katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Lengo la tuzo hizo ni kutambua na kuthamini mchango wa wanamichezo wanaofanya...
Kozi ya CAF C Diploma yaendelea TFF

Kozi ya CAF C Diploma yaendelea TFF

Kozi ya CAF C Diploma yaendelea TFF Moduli ya tatu ya kozi ya ualimu wa mpira wa miguu CAF C diploma inaendelea makao makuu ya TFF Ilala, Dar es salaam ikijumuisha washiriki 45 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania. Kozi hiyo ya nadharia na vitendo chini ya mkufunzi...
Grassroots Festival

Grassroots Festival

SHIRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF) kupitia kamati yake ya ufundi limeandaa Tamasha la michezola (Grass Roots) kwa Wanafunzi wa Shule za msingi na Sekondari.   Tamasha hilo ambalo nilapili limefanyi limefanyika jana wilaya ya Temeke katika Uwanja wa Uhuru Jijini...