Raundi ya Pili TWPL Imemalizika

Raundi ya Pili TWPL Imemalizika

Raundi ya Pili TWPL Imemalizika Michezo mitano ya ligi kuu Tanzania imepigwa kati ya Disemba 27 na 28, 2023 na kukamilisha raundi ya pili msimu huu, huku timu ya Simba Queens ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa faida ya utofauti wa magoli. Matokeo ya ushindi wa...