Simba Bingwa Ngao ya Jamii

Simba Bingwa Ngao ya Jamii

Simba Bingwa Ngao ya Jamii Timu ya Simba SC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Ngao ya Jamii baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Young Africans uliopigwa Agosti 13, 2023 majira ya saa 1:00 usiku kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani. Mchezo huo...
TFF NBC Mitano Tena

TFF NBC Mitano Tena

TFF NBC Mitano Tena Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limesaini mkataba mwingine wa Bilioni 32.56 kwa miaka mitano na benki ya NBC Agosti 11, 2023. Mkataba huo ulioambatana na hafla fupi umefanyika kwenye ukumbi uliopo hoteli ya Tanga Beach jijini Tanga ambapo...
BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini

BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini

BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetoa tuzo kwa wanamichezo Bora nchini katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Lengo la tuzo hizo ni kutambua na kuthamini mchango wa wanamichezo wanaofanya...