Tanzanite Yarejea Nyumbani

Tanzanite Yarejea Nyumbani

Tanzanite Yarejea Nyumbani Timu ya Taifa ya Wanawake U20 “Tanzanite” imewasili nchini Machi 18, 2024 ikitokea kwenye mashindano ya All African Games yaliyokuwa yakifanyika Accra nchini Ghana. Tanzanite iliyoondoka hapa nchini tangu Machi 9, 2024 ilicheza...