Ligi ya Ufukweni Kuanza Februari

Ligi ya Ufukweni Kuanza Februari

LIGI KUU ya soka la ufukweni Tanzania Bara (BSL) inatarajia kuanza Februari 9,2019 mpaka April 14,2019. Ligi hiyo itakua inachezwa kwenye Uwanja wa COCO BEACH uliopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam kila Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 8 mchana mpaka 12 jioni. Kuelekea...