Timu ya Taifa ya Wavulana U17 (Serengeti Boys) imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Australia michuano ya U17 Dubai Youth Challenge.

    Bao la Serengeti Boys Katika mechi hiyo limefungwa na Hussein Mbegu.

    Mechi inayofuata ya Serengeti Boys katika michuano hiyo itakuwa dhidi ya Tajikistan Novemba 15, 2026.

    Serengeti Boys inashiriki michuano hiyo ikiwa sehemu ya maandalizi ya Kombe la Dunia 2026 Qatar, mchezo huo ni wa pili baada ya ule wa kwanza dhidi ya Venezuela ambao ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2.

    Share.