TFF yaendesha Kozi ya Grassroots

TFF yaendesha Kozi ya Grassroots

TFF yaendesha kozi ya Grassroots. Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Wallace Karia amefungua kozi ya awali ya ukocha wa Grassroots “FIFA GRASSROOTS FOOTBALL COACHING COURSE” inayofanyika makao makuu ya TFF Karume jijini Dar Es Salaam. Kozi ya Grassroots ni...
Barka Seif Ajax kwa Mwaka  2021

Barka Seif Ajax kwa Mwaka 2021

    Barka Seif Ajax kwa Mwaka 2021 Mwishoni mwa mwaka 2021 kituo cha Ajax kilichopo nchini Uholanzi kilimtangaza kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 7 Barka Seif Mpanda kuwa ndio “KINDA BORA WA MWAKA 2021” kutokana na ubora alio uonesha kijana huyo kwa...
Amos Makala: Rais Karia ameandika historia Mpya

Amos Makala: Rais Karia ameandika historia Mpya

Amos Makala: Rais Karia Ameandika Historia Mpya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makala amesema Rais wa TFF Wallace Karia ameandika historia mpya kwa kutekeleza kikamilifu na kwa vitendo vipaumbele vyote alivyoviainisha wakati anaingia madarakani mwaka 2017....
Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Donge – Tanga

Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Donge – Tanga

Wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti wakikagua mradi wa TFF ulioko Tanga May 08 2021, Katika eneo la mradi Donge, Tanga. Baada ya kumaliza zowezi la ukaguzi wa mradi ulioko kigamboni, Dar es Salaam May 07, 2021 wajumbe hao wamendelea na zoezi la ukaguzi katika...
Wajumbe wa kamati ya Ukaguzi na Udhibiti TFF watembelea Mradi wa Kigamboni Dar es salaam

Wajumbe wa kamati ya Ukaguzi na Udhibiti TFF watembelea Mradi wa Kigamboni Dar es salaam

Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) , Wallace Karia akiambatana na wajumbe wa kamati ya ukaguzi na udhibiti hii leo May 7, 2021 kukagua mradi wa TFF ulioko Kigamboni, Dar es Salaam. Mradi wa Kigamboni ni moja kati ya miradi mikubwa inayo tekelezwa na...