by tff admin | Jul 14, 2022 | Ligi ya Vijana U20, News
VAR kwa mara ya Kwanza Kutumika Ligi Kuu U-20 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kwa mara ya kwanza limepanga kutambulisha teknolojia ya VAR kwenye mashindano ya ligi kuu ya vijana chini ya miaka 20 Julai 14, 2022 ambayo yamefikia kwenye hatua ya nusu fainali...
by tff admin | Jul 13, 2022 | Ligi ya Vijana U20, News
Robo fainali ligi kuu ya vijana U-20 kupigwa julai 13,2022 Robo fainali za ligi kuu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 zitapigwa Julai 13,2022 katika uwanja wa Azam Complex Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es salaam, huku mabigwa watetezi Mtibwa sukari wakianza...
by tff admin | Jul 13, 2022 | Beach Soccer, Coaching, Fantasy, Grassroots-For Kids, Home Videos, Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, Men's Beach Soccer, News, Racing, Referees, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Uncategorized, Videos, Women's Premier League
Serikali Yampongeza Rais Karia Kuipeleka Serengeti Girls Kombe la Dunia India Oktoba, 2022 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemmwagia sifa Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) kwa kufanikisha kuipeleka Kombe la Dunia timu ya wasichana wenye umri...
by tff admin | Jul 6, 2022 | Ligi ya Vijana U20, News
Ligi kuu ya U-20 kuendelea leo Azam Complex Ligi kuu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 (U-20) kuendelea leo katika uwanja wa Azam Complex Chamazi baada ya pazia kufunguliwa rasmi jana Julai 5, 2022 kwa michezo minne ya kundi A na C kupigwa, ambapo mchezo wa kwanza...
by tff admin | Jun 25, 2022 | Ligi ya Vijana U20, News
Ligi ya Vijana U17 Yaendelea Kurindima Karume Dar. Michezo ya Ligi ya Mkoa wa Dar es Salaam kwa wavulana umri chini ya miaka 17(U17) imeendelea kutimua vumbi kwenye uwanja wa Karume uliopo Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo Juni 25, 2022...
by tff admin | Jun 7, 2022 | Beach Soccer, Coaching, Fantasy, Grassroots-For Kids, Home Videos, Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, Men's Beach Soccer, News, Racing, Referees, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Uncategorized, Videos, Women's Premier League
Serengeti Girls Miongoni mwa timu 16 Zilizo fuzu Kombe la Dunia Timu ya Taifa ya wasichana wenye umri chini ya miaka 17 Serengeti Girls rasmi imeweza kufuzu kushiriki Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wao dhidi ya Cameroon Juni 05,...