BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini

BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini

BMT yatoa tuzo kwa wanamichezo nchini Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetoa tuzo kwa wanamichezo Bora nchini katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Lengo la tuzo hizo ni kutambua na kuthamini mchango wa wanamichezo wanaofanya...
TWIGA STARS WASHINDI WA TATU COSAFA

TWIGA STARS WASHINDI WA TATU COSAFA

TWIGA STARS WASHINDI WA TATU COSAFA Timu ya Taifa ya wanawake “Twiga Stars” imefanikiwa kunyakuwa nafasi ya tatu katika michuano ya Wanawake ya Hollwoodbets Cosafa iliyomalizika leo Port Elizabeth Afrika Kusini. Twiga Stars imeshika nafasi hiyo baada ya kuifunga timu...