Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa onyo kali kwa klabu zinazoshiriki Ligi Kuu na Ligi ya Championship kukamilisha usajili wa wachezaji kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili. Dirisha la usajili lililofunguliwa tarehe Julai 1, 2025 litafungwa rasmi tarehe Septemba 7, 2025. TFF imesisitiza kuwa hakuna muda wa ziada utakaotolewa baada ya tarehe hiyo, hivyo klabu zinatakiwa kukamilisha taratibu zote kwa wakatg
Friday, October 16
Trending
BUY TICKETS
- Tanzania yaifuata Msumbiji AFCON 2026
- Tanzania kumaliza na Msumbiji Futsal AFCON
- Sarafu yaiondoa Serengeti Boys kufuzu AFCON Kanda ya CECAFA
- Tanzania macho kwa Angola Futsal AFCON
- Twiga Stars yaisukuma nje Botswana, yatinga raundi ya tatu Olimpiki
- Serengeti Boys yanusa Nusu fainali CECAFA, yasogelea AFCON 2027
- ‘Tutaenda kupambana Msumbiji’
- Serengeti Boys yaichakaza Kenya kufuzu AFCON 2027


