Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake kilichopita ilipitia taarifa na matukio mbalimbali ya Ligi Kuu ya Vodacom, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili msimu wa 2017/2018 zinazoendelea hivi sasa. Katika taarifa hizo imebainika kuwa timu yako iliwakilishwa na viongozi watatu tu katika kikao cha 

Continue Reading

Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake kilichopita ilipitia taarifa na matukio mbalimbali ya Ligi Kuu ya Vodacom, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili msimu wa 2017/2018 zinazoendelea hivi sasa. Katika taarifa hizo imebainika kuwa timu yako haikuhudhuria katika kikao cha maandalizi (pre match meeting) 

Continue Reading

Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Oktoba 9, 2017 akiliapisha Baraza jipya la mawaziri, – Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, ametuma salamu za pongezi kwa mawaziri wote wapya. Mwishoni mwa wiki iliyopita, Mhe. Rais Dk. John Pombe Magufuli alifanya tena 

Continue Reading

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za vifo vya wanafamilia wawili wa soka vilivyotokea Oktoba 5, 2017 kwa nyakati tofauti. Taarifa ambazo TFF imezipata zinasema waliofariki dunia siku hiyo ni aliyekuwa Mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’; Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’; 

Continue Reading

  Kocha Mkuu wa timu za vijana Tanzania, Kim Poulsen, amevutiwa na uwezo wa vijana wanaoibuka kila mwaka katika soka nchini na kusema tuna hazina ya wachezaji wenye uwezo wa kucheza mahala popote duniani. Poulsen amewaambia waandishi wa habari leo Jumanne Septemba 26, 2017 jijini Dar es Salaam kwamba wamefanikiwa kuona uwezo wa vijana kwa 

Continue Reading

Ligi Daraja la Pili Tanzania Bara (SDL), inatarajiwa kuanza Septemba 30, mwaka huu kwa timu kuchuana katika viwanja vitano tofauti. Kwa mujibu wa Ratiba ambayo imeambatanishwa, michezo ya siku hiyo itakuwa ni kati ya Abajalo na Cosmopolitan; Namungo na Reha kutoka Kundi A wakati kundi B kutakuwa na mchezo kati ya Pepsi na Madini. Kundi 

Continue Reading

Mshambuliaji wa Simba ya Dar es Salaam, Emmanuel Okwi amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Agosti wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018.   Okwi alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili katika uchambuzi uliofanywa Dar es Salaam jana (Jumatano) na Kamati ya Tuzo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), 

Continue Reading

Baada ya Ashanti United na Friends Rangers kuchuana leo Ijumaa, mechi nyingine za ligi hiyo zitaendelea kesho Jumamosi Septemba 30, mwaka huu. JKT Ruvu na Kiluvya United zinatarajiwa kucheza kesho kwenye Uwanja wa Mbweni katika mchezo wa kundi A kama ilivyokuwa kwa timu ambazo zimecheza leo – Ashanti na Friends. Kundi B kutakuwa na michezo 

Continue Reading

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea kesho Jumamosi Septemba 30, mwaka huu kwa michezo saba itayochezwa kwenye viwanja tofauti nchini. Kwa siku ya Jumapili Oktoba mosi, mwaka huu kutakuwa na mchezo mmoja tu. Katika ligi hiyo ambayo Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeifanya tathimini ya awali na kuona kwamba inakwenda 

Continue Reading